Mipango inafanywa kuurejesha mwili
wa marehemu nyumbani kwa mazishi.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo. Mola na aiweka roho ya marehemu mahali pema peponi
- Amina
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
InnaLlillah wa Illahi Rajeoon. RIP my dearest wifi, Best Shangazi of my Children. I will always mourn for you.Poleni wanangu wooote.
ReplyDeleteInnalillah waijna rajuun....mwenyezi mungu amjaalie amfanyie wepesi sana katika safari yake hii na amsamehe makosa yake ..amin na wafiwa poleni sana kwa msiba huu mzito kwenu allah awape subra amin
ReplyDelete