Familia ya Mzee Ndege Inasikitika kutangaza kifo cha ndugu yao mpendwa Omar Ndege Mgori (pichani) kilichotokea India. Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa Marehemu Mbezi Juu Njia ya Goba.Habari ziwafikiw ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Kwa taraarifa zaidi wasiliana na :
0718066661 - Jaji Mgori
0787523152 - Tumaini Mgori
+199869103747 - Mohammed Mgori
rest in peace lovely cousin... i will always miss you bro. will meet you there in jannah
ReplyDeleteR.I.P. "KAJIJI".....Wana BILOKO CLUB KINONDONI tu nyuma yako kwenye safari hii ya wote!
ReplyDeleteR.I.P kaka Omar
ReplyDeletePumzika kwa amani kaka Kajiji. Kweli wema wana maisha mafupi.
ReplyDelete