Familia ya  Mzee Ndege Inasikitika kutangaza  kifo cha  ndugu yao mpendwa Omar Ndege Mgori  (pichani) kilichotokea India. Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa Marehemu Mbezi Juu Njia ya Goba.Habari ziwafikiw ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.

Kwa taraarifa zaidi wasiliana na :

0718066661 - Jaji Mgori
0787523152 - Tumaini Mgori
+199869103747 - Mohammed Mgori

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. rest in peace lovely cousin... i will always miss you bro. will meet you there in jannah

    ReplyDelete
  2. R.I.P. "KAJIJI".....Wana BILOKO CLUB KINONDONI tu nyuma yako kwenye safari hii ya wote!

    ReplyDelete
  3. R.I.P kaka Omar

    ReplyDelete
  4. Pumzika kwa amani kaka Kajiji. Kweli wema wana maisha mafupi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...