Tasnia ya Urembo inazidi kuchukua sura mpya siku hadi siku,kwa masiku kadhaa hapa Nyumbani tumekuwa tukilalamikia udanganyifu wa Umri wa Mrembo wa Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu kwamba umri wake wa halali haukustahili kumfanya awe Malkia wa taji hilo na hivyo anapaswa kuvuliwa taji hilo,lakini imekuwa ni tofauti kwa ndugu zetu wa nchi ya Uganda kwani wao kilio chao ni kwamba Mrembo alietwaa taji la Miss Uganda 2014,Leah Kalanguka ni mbaya na hana mvuto na hivyo hawezi kuiwakilisha vyema nchini hiyo katika Mashindano ya Dunia.

Wadau wa Urembo nchini humo wamekuwa wakiwatupia lawama waandaaji wa Mashindano hayo kupitia mitandao ya kijamii kuwa,Mshindi waliempata mwaka huu hafai kabisa.Mdau wewe unasemaje??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. She is absolutely fine, "beauty is in the eye of the beholder".
    Sop this Miss whatever contests, it is money making opportunity for some filthy men, using, abusing and degrading women.
    To all you African women, from cape town to cairo, from dar es salaam to Dakar! you are all beautiful and should all boycott participating in these nonsense miss whatever contests.
    Dr Gangwe

    ReplyDelete
  2. mmmh! jaman Unganda angalieni vizuri, me tatizo naloliona hapo akienda Miss World itakua ni kicheko, hafai kabisa, akienda Miss world wazungu watakimbia ukumbi.

    ReplyDelete
  3. afadhari ya hilo la Uganda huyu wa kwetu mimi kama mtanzania simtambui...labda kama anawakilisha wizara,basata,lundenga na wapenzi wake wengine..au hata wewe uncle umemkubari?..

    ReplyDelete
  4. Kwelu shulini miaka hiyo tungemwita"kaliko"

    ReplyDelete
  5. Rushwa ni kansa iliyoenea kila kona kwa nchi nyingi za Africa

    ReplyDelete
  6. Rushwa ni kansa iliyoenea kila kona kwa nchi nyingi za Africa

    ReplyDelete
  7. Yaani siyo kwamba ni mbaya, hapana, kwa uganda huyo ndio mrembo kuwapita wenzake wote. Sasa majaji wangefanyaje? you tell me!!!

    Pole sana marafiki zangu waganda..

    As I once said...

    "The beauty is in the eye of the beholder"

    ReplyDelete
  8. Mbona huyu mrembo kabisa kkwa sura mbaya gani? black is beauty mi sioni ubaya wake.

    ReplyDelete
  9. uzuri wa sura sio kigezo
    ana height
    ana body
    ana hekima
    ana akili

    ReplyDelete
  10. Mbona yupo poa tu.

    ReplyDelete
  11. Mmmhh.. kwa Uganda huyu mbona miss wa ukweli....hakuna kitu kule....

    ReplyDelete
  12. Usituondoe kwanye mjadala wa mada kuu ya Sitti. Kuwa mbaya si ishu kwenye vigezo vya miss world lakini umri ni kigezo. Wanaokwenda kule wengine ni wabaya na ndo maana kuna mshindi kwa kwanza hadi alieshidwa wa mwisho lakini kupeleka mzee hiyo ni big NO

    ReplyDelete
  13. Tunapenda sana kupotezana kwenye ukweli, Ukweli ni Kwamba Wa-Tanzania tushachoka kuongopewa ni kweli kila binadamu Ana baya lake na anao muda wa kutubu Kama ukiwepo ila Miss Tanzania yeye amedanganya ameongopea Watanzania na ameidanganya Serikali kwenye vyeti ndio tofauti asingefanya Hivyo angekuwa na haki kwahiyo ya wa Uganda tu waachie Uganda na Huyo Mwanamke ni Mzuri tu wa Uganda wote tunajuwa Mungu ndio alioumba hajafa hujaumbika na ndomana tunataka Sitti Mtemvu awe mkweli basi kitu rahisi.

    ReplyDelete
  14. Hata hivyo tangu lini waganda wakawa wazuri?

    ReplyDelete
  15. Mimi sioni kasoro yoyote. Dada wa watu ni mzuri tu kama wadada wengine.

    ReplyDelete
  16. Vigezo vya umiss duniani siku hizi hakuna mwonekano wa sura kwani ni kuwabaguwa watu wanaostahili kwa misingi ya mwonekano.

    umiss ni uzito, urefu, na IQ.

    ReplyDelete
  17. Jamani si ni kwamba "Black is Beauty" sasa kama hicho nacho ni kiegezo basi huyu mrembo anastahili taji, hakuna tatizo hapo!

    ReplyDelete
  18. hafai kabisa......unqualified miss

    ReplyDelete
  19. bora huyu kuliko wa kwetu ambaye ni MUONGO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...