Tasnia ya Urembo inazidi kuchukua sura mpya siku hadi siku,kwa masiku kadhaa hapa Nyumbani tumekuwa tukilalamikia udanganyifu wa Umri wa Mrembo wa Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu kwamba umri wake wa halali haukustahili kumfanya awe Malkia wa taji hilo na hivyo anapaswa kuvuliwa taji hilo,lakini imekuwa ni tofauti kwa ndugu zetu wa nchi ya Uganda kwani wao kilio chao ni kwamba Mrembo alietwaa taji la Miss Uganda 2014,Leah Kalanguka ni mbaya na hana mvuto na hivyo hawezi kuiwakilisha vyema nchini hiyo katika Mashindano ya Dunia.
Wadau wa Urembo nchini humo wamekuwa wakiwatupia lawama waandaaji wa Mashindano hayo kupitia mitandao ya kijamii kuwa,Mshindi waliempata mwaka huu hafai kabisa.Mdau wewe unasemaje??
She is absolutely fine, "beauty is in the eye of the beholder".
ReplyDeleteSop this Miss whatever contests, it is money making opportunity for some filthy men, using, abusing and degrading women.
To all you African women, from cape town to cairo, from dar es salaam to Dakar! you are all beautiful and should all boycott participating in these nonsense miss whatever contests.
Dr Gangwe
mmmh! jaman Unganda angalieni vizuri, me tatizo naloliona hapo akienda Miss World itakua ni kicheko, hafai kabisa, akienda Miss world wazungu watakimbia ukumbi.
ReplyDeleteafadhari ya hilo la Uganda huyu wa kwetu mimi kama mtanzania simtambui...labda kama anawakilisha wizara,basata,lundenga na wapenzi wake wengine..au hata wewe uncle umemkubari?..
ReplyDeleteKwelu shulini miaka hiyo tungemwita"kaliko"
ReplyDeleteRushwa ni kansa iliyoenea kila kona kwa nchi nyingi za Africa
ReplyDeleteRushwa ni kansa iliyoenea kila kona kwa nchi nyingi za Africa
ReplyDeleteYaani siyo kwamba ni mbaya, hapana, kwa uganda huyo ndio mrembo kuwapita wenzake wote. Sasa majaji wangefanyaje? you tell me!!!
ReplyDeletePole sana marafiki zangu waganda..
As I once said...
"The beauty is in the eye of the beholder"
Mbona huyu mrembo kabisa kkwa sura mbaya gani? black is beauty mi sioni ubaya wake.
ReplyDeleteuzuri wa sura sio kigezo
ReplyDeleteana height
ana body
ana hekima
ana akili
Mbona yupo poa tu.
ReplyDeleteMmmhh.. kwa Uganda huyu mbona miss wa ukweli....hakuna kitu kule....
ReplyDeleteUsituondoe kwanye mjadala wa mada kuu ya Sitti. Kuwa mbaya si ishu kwenye vigezo vya miss world lakini umri ni kigezo. Wanaokwenda kule wengine ni wabaya na ndo maana kuna mshindi kwa kwanza hadi alieshidwa wa mwisho lakini kupeleka mzee hiyo ni big NO
ReplyDeleteTunapenda sana kupotezana kwenye ukweli, Ukweli ni Kwamba Wa-Tanzania tushachoka kuongopewa ni kweli kila binadamu Ana baya lake na anao muda wa kutubu Kama ukiwepo ila Miss Tanzania yeye amedanganya ameongopea Watanzania na ameidanganya Serikali kwenye vyeti ndio tofauti asingefanya Hivyo angekuwa na haki kwahiyo ya wa Uganda tu waachie Uganda na Huyo Mwanamke ni Mzuri tu wa Uganda wote tunajuwa Mungu ndio alioumba hajafa hujaumbika na ndomana tunataka Sitti Mtemvu awe mkweli basi kitu rahisi.
ReplyDeleteHata hivyo tangu lini waganda wakawa wazuri?
ReplyDeleteMimi sioni kasoro yoyote. Dada wa watu ni mzuri tu kama wadada wengine.
ReplyDeleteVigezo vya umiss duniani siku hizi hakuna mwonekano wa sura kwani ni kuwabaguwa watu wanaostahili kwa misingi ya mwonekano.
ReplyDeleteumiss ni uzito, urefu, na IQ.
Jamani si ni kwamba "Black is Beauty" sasa kama hicho nacho ni kiegezo basi huyu mrembo anastahili taji, hakuna tatizo hapo!
ReplyDeletehafai kabisa......unqualified miss
ReplyDeletebora huyu kuliko wa kwetu ambaye ni MUONGO
ReplyDelete