Mtaalamu
kutoka Mgodi wa Geita akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili
na Mazingira juu ya utekelezaji wa sheria ya Mazingira katika mgodi huo. Wengine katika picha ni wajumbe wa Kamati
hiyo.
Kutoka kulia, Mh. James Lembeli
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira akitoa maagizo
kwa wataalamu wa mgodi wa Geita (hawapo pichani) juu ya Hifadhi endelevu ya
Mazingira kwa mujibu wa Sheria. Wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais, Mh. Ummy Mwalimu na wengine ni wajumbe wa Kamati hiyo.
Katika jitihada za kuhifadhi
mazingira katika Mgodi wa Geita, pichani ni eneo maalumu lililotengwa kwa ajili
ya utupaji wa taka zinazoharibika.
Sehemu ya
Mabwawa yanayotumika katika shughuli za uzalishaji katika Mgodi wa Geita.
Wachimba migodi wahifadhi mazingira.
ReplyDelete