Ankal akiwa katapakaa vumbi mwili mzima baada ya kula mwereka na kamera yake katika harakati za kazi kwenye soko la nafaka la Kibaigwa mkoani Dodoma hivi karibuni. Ankal anakwambia kwamba katika maisha lazima mtu ujiandae kwa lolote, mahali popote na wakati wowote... 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Pole sana uncle uzee huo unakuja jitahidi kufanya Ibada!

    ReplyDelete
  2. Du pole sana mkuu. Hata hivyo naona uko fit kinoma hata baada ya kuanguka.

    ReplyDelete
  3. Pole sana Ankal, ndo maisha ya Bongoland na vumbi lake.

    ReplyDelete
  4. wabongo bwana, vijisenti kidogo kitambi hichoooo!

    ReplyDelete
  5. We anonymous hapo juu acha wivu wa kike. kitambi kiko wapi hapo? Hilo vumbi na kufanya kazi badala ya kushinda mtandaoni kumwaga hate ndilo linalompa hivyo visenti. Ankoli piga mzigo achana nao hawa wivu wa kikezzzz

    ReplyDelete
  6. Ankal, kamera imepona ama wadau tukuchangie?

    ReplyDelete
  7. Unapoanguka, amka, ondoa vumbi maisha yaendelee. Huu ni ukweli wa maisha wakati wowote unapoamua kufanya jambo waweza kuanguka au usifikie malengo ulivyotarajia la muhimu usikae tu unajihurumia amka jaribu tena au endelea mbele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...