Home
Unlabelled
ajali kazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole sana uncle uzee huo unakuja jitahidi kufanya Ibada!
ReplyDeleteDu pole sana mkuu. Hata hivyo naona uko fit kinoma hata baada ya kuanguka.
ReplyDeletePole sana Ankal, ndo maisha ya Bongoland na vumbi lake.
ReplyDeletewabongo bwana, vijisenti kidogo kitambi hichoooo!
ReplyDeleteWe anonymous hapo juu acha wivu wa kike. kitambi kiko wapi hapo? Hilo vumbi na kufanya kazi badala ya kushinda mtandaoni kumwaga hate ndilo linalompa hivyo visenti. Ankoli piga mzigo achana nao hawa wivu wa kikezzzz
ReplyDeleteAnkal, kamera imepona ama wadau tukuchangie?
ReplyDeleteUnapoanguka, amka, ondoa vumbi maisha yaendelee. Huu ni ukweli wa maisha wakati wowote unapoamua kufanya jambo waweza kuanguka au usifikie malengo ulivyotarajia la muhimu usikae tu unajihurumia amka jaribu tena au endelea mbele.
ReplyDelete