Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiwa kwenye pozi la picha mara baada ya kulamba Nondozz yake ya BA EC katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo hicho.
Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiendelea kujiachia mbele ya Kamera.
Bi Zahra akiendelea kupata taswira mbali mbali.
Kwa raha zake Binti Ankal.
Hongera Ancle kwa malezi mema na kwa kumfikisha binti katika hatua hii njema kabisa ya kimaisha. Tunamtakia heri katika ujenzi wa taifa letu.
ReplyDeleteNakuja kuchumbia sasa Michuzi.
ReplyDeletenilifikir uncle ni bachela
ReplyDeleteHongera sana Ankal kwa kutimiza majukumu yako kama mzazi. Binti anaonekana kichwa kiko safi. Mtoe akapate Masters some where in Europe/USA/Canada. Naisubiri kwa hamu sana picha utakayopiga wewe, na familia yako wakati huyu binti analamba Masters somewhere.
ReplyDeleteAnkal naomba niwe mkweo
ReplyDeleteAmeshachumbiwa au?
ReplyDeleteHongera sana...
ReplyDeleteHongera binti kwa kupiga hatua hii muhimu ya maisha umependeza tunakutakia heri njema ya maisha tukitarajia mchango wako katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya nchi yetu Tanzania.
ReplyDeletehodi
ReplyDeleteHebu watuache tusome.......hawa wanao comment wanauliza ameshachumbiwa ama la.....hivi tumeumbwa tuje kuolewa tu? ....pisheni njia tupite. Hongera dada.
ReplyDeleteHongera sana
ReplyDeleteUS Blogger