Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiwa kwenye pozi la picha mara baada ya kulamba Nondozz yake ya BA EC katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo hicho.
Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiendelea kujiachia mbele ya Kamera.
Bi Zahra akiendelea kupata taswira mbali mbali.
Kwa raha zake Binti Ankal.
Pozi la Selfie na mdogo wake.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hongera Ancle kwa malezi mema na kwa kumfikisha binti katika hatua hii njema kabisa ya kimaisha. Tunamtakia heri katika ujenzi wa taifa letu.

    ReplyDelete
  2. Nakuja kuchumbia sasa Michuzi.

    ReplyDelete
  3. nilifikir uncle ni bachela

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Ankal kwa kutimiza majukumu yako kama mzazi. Binti anaonekana kichwa kiko safi. Mtoe akapate Masters some where in Europe/USA/Canada. Naisubiri kwa hamu sana picha utakayopiga wewe, na familia yako wakati huyu binti analamba Masters somewhere.

    ReplyDelete
  5. Ankal naomba niwe mkweo

    ReplyDelete
  6. Ameshachumbiwa au?

    ReplyDelete
  7. Hongera sana...

    ReplyDelete
  8. Hongera binti kwa kupiga hatua hii muhimu ya maisha umependeza tunakutakia heri njema ya maisha tukitarajia mchango wako katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya nchi yetu Tanzania.

    ReplyDelete
  9. Hebu watuache tusome.......hawa wanao comment wanauliza ameshachumbiwa ama la.....hivi tumeumbwa tuje kuolewa tu? ....pisheni njia tupite. Hongera dada.

    ReplyDelete
  10. Hongera sana

    US Blogger

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...