Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee wa mji wa Dodoma leo  waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma  waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Taarifa ni nzuri ila tarehe hiyo ni sawa.

    ReplyDelete
  2. Tumekusikia Mhe. Rais na hongera kwa ziara na matokeo mazuri China, mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, shukrani kwa kudumia urafiki na wachina ambao si mandumila kuwili wakisema ndiyo wanamaanisha ndiyo na wakisema hapana ni hapana. Idumu serikali ya CCM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...