Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa
Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee
wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo.

Taarifa ni nzuri ila tarehe hiyo ni sawa.
ReplyDeleteTumekusikia Mhe. Rais na hongera kwa ziara na matokeo mazuri China, mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, shukrani kwa kudumia urafiki na wachina ambao si mandumila kuwili wakisema ndiyo wanamaanisha ndiyo na wakisema hapana ni hapana. Idumu serikali ya CCM
ReplyDelete