Bwana Abiud Maregesi wa Kijitonyama Dar Es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake mzazi, Mama Martha Maregesi, kilichotokea Jumanne, tarehe 04 Novemba 2014 katika Hospital ya Rufaa ya Musoma.
Mazishi yatafanyika Alhamisi tarehe 06 November 2014 kijiji Seka Majita Musoma. Habari ziwafikie Ndugu, Jamaa na Marafiki popote walipo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...