J&M VIRGO WAMESHUKA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA KABISA KWAKO WEWE MTANZANIA TOKA MAJUU ILI UWEZE KUNG'AA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA SIKUKUU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA.

J&M VIRGO WENYE UHODARI WA KUUZA VIWALO VYA NGUVU NA VYA KISASA JIJI LA DAR ES SALAAM ,WANAPATIKANA PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA.FIKA ILI UWEZE KUJIPATIA VITUZZ NA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA MATATA NA MICHUCHUMIO YA HAJA KWA KINA DADA.

KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mmhm Hayo mavazi yanakuja na huyo binti au? Maana yupo mwaa

    ReplyDelete
  2. anonymous hapa juu umegonga penyewe. liliniacha hoi ni suala zima la nyonyo au Azam fresh!

    ReplyDelete
  3. hahahaaa swadakta wadau yaani ni shida aisee nyonyo ndio mpango mzima

    ReplyDelete
  4. AZAM Fresh!!! aka Nyonyo ndio mpango mzima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...