Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh edward Lowassa akimjulia hali leo hii askofu mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es salaam alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora.Mwenye shati jeupe ni Bishop Gwajima.
Home
Unlabelled
Lowassa amjulia hali askofu mkuu ruzoka hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...