Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilai akizungumza na waumini wa Dini ya kikiristo wakati washerehe za
kutabaruku Kuweka wakfu, kanisa la Kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la
kondoa jana 4/12/2014 iliofanyika Wilaya
ya Kondoa Mkoa wa Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilal akipongezwa na Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la kondoa Baba Bernadin Mfumbusa mara baada ya kuzungumza na
waumini wa kanisa la kiaskofu la Roho mtakatifu jimbo la Kondoa juzi 4/12/2014
iliofanyika walaya ya kondoa mkoa wa Dodoma.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya
Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu na
mashekh wa Wilaya ya kondoa mkoa wa Dodoma Mara baada ya kuzungumza na waumini
wa Dini ya kikiristo jana tarehe 4/12/2014.
Makamu wqaa Rais
wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiagana na Askofu mkuu wa
Kanisa katoliki Tanzania Kardinali Polcarp Pengo wakati wa Sherehe za
Kutabaruku kuweka wakfu ,kubariki kanisa lakiaskofu la roho Mtakatifu la jimbo
la kondoa iliofanyika wilayani kondoa mkoa wa Dodoma juzi tarehe 4/12/2014.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...