Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akifungua Mkutano wa 6 wa Kamati ya Ukaguzi kwa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu unaofanyika katika Hoteli Harbour View, Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo pamoja na mambo mengine inalenga kudhibiti uvunaji haramu wa maliasili ikiwemo madini ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa kichocheo cha vikundi vya uasi na migogoro katika Eneo la Maziwa Mkuu hususan katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Home
Unlabelled
Naibu Katibu Mkuu afungua Mkutano wa Kamati ya Ukaguzi ya Nchi za Maziwa Makuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...