Mengi yamesemwa, yanasemwa na yatasemwa lakini piga ua Diamond hana mfano wake kwa wasanii wote wa kizazi kipya nchini Tanzania kwa sasa.
Ukiweka pembeni tuzo lukuki alizopata ndani na nje ya nchi, zikiwemo tatu alizolamba Jumamosi huko Afrika Kusini, hadi sasa yeye ndiye msanii wa Kitanzania pekee anayealikwa kila kona ya dunia kila kukicha.
Hivi tunavyoongea ana mialiko kibao nje ya nchi ikiwemo Kampala, Uganda, na Washinton DC, Marekani.
![]() |
Msanii Diamond Platnumz na mama yake mzazi pamoja na Zari na menejimenti yake baada ya kushinda tuzo tatu za Channel O #CHOAMVA na kuzidi kupeperusha bendera ya Tanzania nje na ndani ya nchi. |
Madame Rita Paulsen na Salma Jabir walikuwepomkumpa taffu Diamond
Safi sana mdogo wangu, wenye chuki wajinyonge tuu
ReplyDeletewema sepetu mbona hatumuoni hapo
ReplyDeleteBecause he is a big player, he sleeps around with some many dirt women
Delete