Mengi yamesemwa, yanasemwa na yatasemwa lakini piga ua Diamond hana mfano wake kwa wasanii wote wa kizazi kipya nchini Tanzania kwa sasa. 
 Ukiweka pembeni tuzo lukuki alizopata ndani na nje ya nchi, zikiwemo tatu alizolamba Jumamosi huko Afrika Kusini, hadi sasa yeye ndiye msanii wa Kitanzania pekee anayealikwa kila kona ya dunia kila kukicha. 
 Hivi tunavyoongea ana mialiko kibao nje ya nchi ikiwemo Kampala, Uganda, na Washinton DC, Marekani.
Msanii Diamond Platnumz na mama yake mzazi pamoja na Zari na menejimenti yake baada ya kushinda tuzo tatu za Channel O #CHOAMVA na kuzidi kupeperusha bendera ya Tanzania nje na ndani ya nchi.
Madame Rita Paulsen na Salma Jabir walikuwepomkumpa taffu Diamond

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Safi sana mdogo wangu, wenye chuki wajinyonge tuu

    ReplyDelete
  2. wema sepetu mbona hatumuoni hapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Because he is a big player, he sleeps around with some many dirt women

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...