Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com pia at https://itunes.apple.com/album/id947329929 au
http://play.spotify.com/album/4kG86JgvuyWQtgCPCPmCkY
Home
Unlabelled
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU wa Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ngoma Africa Band mbona albamu yenu yenye nyimbo kama Bongo Tambarare, Shangwe n.k hamtundiki YouTube? ! " $ %
ReplyDeleteKamanda na wana FFU fanyeni hima mtundike vitu hivyo adimu ndani ya YouTube maana huko kuna ''viewers'' au ''Audince Kubwa'', msiwe na hofu maana YouTube Google pia watawapatia mshiko.
Vitu vyenu Lokasa ya Mbongo, Balu Kantu, Shimita, Ngouma Lokito, Yondo Sister n.k wa Enzi ya Soukous Stars wakiwasikia zama hizi lazima wawavulie kofia kwa kufanya makubwa ktk muziki wa dansi la Kiafrika na Tanzania.
Mdau
Wa Muziki wa Dansi Diaspora.