Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com pia at https://itunes.apple.com/album/id947329929 au http://play.spotify.com/album/4kG86JgvuyWQtgCPCPmCkY

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ngoma Africa Band mbona albamu yenu yenye nyimbo kama Bongo Tambarare, Shangwe n.k hamtundiki YouTube? ! " $ %

    Kamanda na wana FFU fanyeni hima mtundike vitu hivyo adimu ndani ya YouTube maana huko kuna ''viewers'' au ''Audince Kubwa'', msiwe na hofu maana YouTube Google pia watawapatia mshiko.

    Vitu vyenu Lokasa ya Mbongo, Balu Kantu, Shimita, Ngouma Lokito, Yondo Sister n.k wa Enzi ya Soukous Stars wakiwasikia zama hizi lazima wawavulie kofia kwa kufanya makubwa ktk muziki wa dansi la Kiafrika na Tanzania.

    Mdau
    Wa Muziki wa Dansi Diaspora.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...