Ankal pokea taswira hizi kutoka jiji la Tanga ushee na wadau. Hapa ni Tanga Yatch Club ambayo mandhari yake ni tamu kweli kama unavyojionea
Mandhari ya ufukwe wa jiji la Tanga
Tanga Yatch Club
Bustani mwanana inayofadhiliwa na
Mkonge hotel ndiyo Kilimanjaro hotel yetu
Karibu Tanga
Moja ya shule kongwe na maarufu sana jijini Tanga
Gereji yetu kuu.
Globu ya Jamii inamshukuru na kumpongeza sana mdau huyu kwa taswira hizi nzuri. Bahati mbaya hapendi jina lake lijulikane. Pia tunakaribisha aina hii ya taswira kutoka popote pale na unaweza kutumia WHATSAPP kuoitia nama +255754271266 ama email issamichuzi@gmail.com


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Mandhari safi kabisa ya bahari Tanga, hivi ufukwe huu unautalii wowote?, hoteli inahitaji kuboreshwa (facelift) ipendeze.
ReplyDeleteHospitali ya Bombo bado inaonekana ipo kama nilivyoina miaka ya 90.
ReplyDeleteTanga waja leo warudi leo!