Uvunjifu wa Sheria za usalama barabarani hasa kutofuata utaratibu wa Taa za kuongozea magari umekuwa ni kitu cha kawaida kabisa siku hizi hapa jijini Dar es Salaam,Pichani ni msururu wa magari ukikatiza kwenye makutano ya Bamaga mbele kabisa ya pale zilipo Ofisi za Shirik al Utangazaji Nchini (TBC) na ili hali taaza kuongozea magari hayo zikionekana kuzuia.Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii.
Home
Unlabelled
YALE YALEEEE.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
waachwe tu kuna anayefuata sheria huko?? kilichopo huko ni kuviziana tu lakini utaratibu hakuna na hilo linajithibitisha na haya maskandali yanayovuma sasa ....sheria hakuna...
ReplyDeleteNaomba kueleweshwa, kosa liko wapi hapo ? taa nyekundu inayoonekana pichani ni kwa ajili ya magari yanayotoka Mwenge kuelekea mjini, haya yanayopita ni ya kutoka mjini kuelekea Mwenge....madereva hawa si wanastahili kuombwa radhi kwa kuchafuliwa weledi wao ?
ReplyDelete