Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Pia kenya air ways inaongoza kwa wizi

    ReplyDelete
  2. Lo! sikutegemea kama hata huku majuu kuna uwizi kwenye laggages hiyo ni aibu kubwa. Kumbe nafuu hata TZ. Nimejifunza kutokuweka vitu muhimu kwenye begi zangu. Asante kwa tahadhari hii.

    ReplyDelete
  3. Wote wanaoweka fedha na vito vya thamani kwenye check-in baggage wana matatizo ya kufikiri na kufanya maamuzi sahihi.

    ReplyDelete
  4. Kwann unasema wanamatatizo ya kufikiri wanaoweka mizigo ya dhamani, acha hizo wewe. Tunashukuru kutujuza mdau.

    ReplyDelete
  5. Wewe unayeuliza hilo swali pamoja na kwamba umekwishapata jibu kwenye video ni mmoja wao hao ambao hawawezi kufanya maamuzi ya busara. Nasema hivyo kwa sababu mtu yeyote ambaye amesafiri anajua kuwa mizigo ya check in huwa inapotea. Kwa nini u-take risk ya kupoteza dollar zako wakati ungeweza kusafiri nazo kwenye mifuko ya suruali ama kwenye carry on baggage?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...