Home
Unlabelled
yale yaleeeeee: wizi katika mizigo ya abiria uwanja wa ndege huko majuu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pia kenya air ways inaongoza kwa wizi
ReplyDeleteLo! sikutegemea kama hata huku majuu kuna uwizi kwenye laggages hiyo ni aibu kubwa. Kumbe nafuu hata TZ. Nimejifunza kutokuweka vitu muhimu kwenye begi zangu. Asante kwa tahadhari hii.
ReplyDeleteWote wanaoweka fedha na vito vya thamani kwenye check-in baggage wana matatizo ya kufikiri na kufanya maamuzi sahihi.
ReplyDeleteKwann unasema wanamatatizo ya kufikiri wanaoweka mizigo ya dhamani, acha hizo wewe. Tunashukuru kutujuza mdau.
ReplyDeleteWewe unayeuliza hilo swali pamoja na kwamba umekwishapata jibu kwenye video ni mmoja wao hao ambao hawawezi kufanya maamuzi ya busara. Nasema hivyo kwa sababu mtu yeyote ambaye amesafiri anajua kuwa mizigo ya check in huwa inapotea. Kwa nini u-take risk ya kupoteza dollar zako wakati ungeweza kusafiri nazo kwenye mifuko ya suruali ama kwenye carry on baggage?
ReplyDelete