Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga
akimkabidhi shada la ua Mhe. Katarina Revocatti, Msajili Mteule wa
Mahakama ya Rufani mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais
mapema leo tar. 08.01.2015.
Msajili Mkuu Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi
akimpongeza Mhe. Katarina Revocatti kwa kuteuliwa kwake kuwa
Msajili wa Mahakama ya Rufani (T).
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga,
(kulia), Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi
(Kushoto), Mhe. Katarina Revocatti, Msajili Mteule wa Mahakama ya
Rufani ( katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
Maafisa wa Mahakama katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika
katika Ofisi za Mahakama ya Rufani (T) baada ya kuapishwa kwake
na Mhe. Rais. (Picha na Mahakama).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...