Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi muongozo wa kazi Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati ikulu jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi hata Civil Servants wanaapishwa siku hizi - Is there no code of conduct for them?

    Naona kila siku watu wanaapishwa.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mh. Catherine Revocat, MUNGU akubariki sana. Nakumbuka wakati ukianza kazi ukiwa bado msichana, RM Mbeya. Sasa ni mama mwenye familia na wadhifa mkubwa, MUNGU akubariki sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...