Mtoto Zainabu 'IKOTA' Mhamila (kulia) akimlisha keki mama yake mzazi Bi. Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao Buguruni Rozana. |
Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika pozi huku akiwa na keki yake.
Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa. |
Happy birthday Zainabu!
ReplyDeleteWhat a beautifull capture of the picture! So bright eyes... and very innocent souls!!!! No trouble!!