| Mtoto Zainabu 'IKOTA' Mhamila (kulia) akimlisha keki mama yake mzazi Bi. Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao Buguruni Rozana. |
Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika pozi huku akiwa na keki yake.
| Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa. |


Happy birthday Zainabu!
ReplyDeleteWhat a beautifull capture of the picture! So bright eyes... and very innocent souls!!!! No trouble!!