Siku
ya warembo ni usiku unaowakutanisha pamoja warembo wote wa mjini ambao
hufanyika kila Alhamis ndani ya Kiota cha maraha cha Samaki Samaki City
centre Jijini Dar.Usiki huo hunogeshwa zaidi na magoma ya nguvu
yanayoporomoshwa kutoka kwa maDJ wakali wa Samaki Samaki ambao ni Dj
Sinyorita the hottest female DJ in town na DJ Vasley.
Mmoja wa wadada warembo katika Usiku wa Warembo ndani ya kiota cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar.
Wadau kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar wakiwakilisha vilivyo ndani ya Usiku wa Warembo.
Mdau Edward Lusala (wa pili kulia) akiwa na swahiba wake Leonard (pili kushoto) wakiwa pamoja na Warembo wa kiota cha ndani ya Samaki Samaki City centre Jijini Dar.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...