Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Alhaji Muhammad Mumuni (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Ubeligiji Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada ya kumaliza mazungumzo naye ofisini kwake Brussels. Alhaji Mumuni alifika ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuishukuru Tanzania kwa kumuunga mkono toka alipoteuliwa miaka miwili iliyopita hadi anapomaliza kipindi chake cha miaka miaka miwili ya kutumikia Sekretarieti ya ACP.
Home
Unlabelled
KATIBU MKUU WA SEKRETARIETI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI AKUTANA NA BALOZI KAMALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi, endelea kuelamisha na hili:
ReplyDeleteSuti zipimeni sawia.
Fasta fasta ya nini kuvaa suti isiyosaizi yako?