Afisa Mkuu wa kitengo cha biashara ya
jumla wa NMB Ndugu Richard Makungwa, (Kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye
thamani ya shilingi milioni 10, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF -
Adam Mayingu. Katikati ni Meneja Mwandamizi wa kitengo cha biashara za
Kitaasisi NMB -oela Kivaria.
Afisa Mkuu wa kitengo cha biashara ya jumla wa NMB Ndugu
Richard Makungwa (Kulia) pamoja
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF - Adam Mayingu, wakiashiria ushirikiano wa
taasisi mbili kwa kugongesha
vinywaji vyao wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na NMB kwa wadau wa PSPF.
Maofisa wa NMB wakifuatilia jambo la muhimu wakati wa hafla hiyo ya PSPF iliyofadhiliwa na Benki ya NMB.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...