Vikosi vya Simba iliyokuwa Simba enzi hizo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kama umezaliwa in 80's and up huambulii kitu hapo. 90% nimewakumbuka. This is nice!

    ReplyDelete
  2. picha ya hapo juu waliosimama: Azim Dewji(mfadhili mkuu), Iddi Selemani, Godwin Aswile "Scania", Mohamed Mwameja "TZ one", Husseima Masha, Mustafa Hoza na George Masatu.
    Waliochuchuma kutoka kushoto:
    Athuman Abdala "China", XXX, XXX, Madaraka Selemani na Edward Chumila "Eddo"

    ReplyDelete
  3. Picha ya Chini Waliosimama kutoka kushoto:
    Mackenzi Ramadhani, Hussein Masha, Bakari Iddi, XXX, Jamhuri Kiwehlo, XXX, Zamoyoni Mogella, Twaha Hamidu, Mavumbi Omari, Manager wa Team na Trainer.

    Waliochuchuma kutoka kushoto:
    Ayubu Mzee, Hassani Afif, MEthod Mogella, XXX, Raphael Paul "RP", XXX, Idd Pazi "Father" na XXX


    ReplyDelete
  4. Picha ya juu baada ya China ni Dua Said and Deo Mkuki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...