Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais wa Shirikisho la Ujerumani,Mheshimiwa Joachim Gauck leo jijini Arusha.
Rais wa shirikisho la Ujerumani,Joachim Gauck akizungumza na wafanyakazi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani,Philipo Sanka Marmo(katikati)akibadilishana mawazo na Afisa Habari Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR) Bw. Sukhdev Chatbar(shoto) na Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen, Bw. Zephania Ubwani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...