Home
Unlabelled
kutoka maktaba: simba iliyokuwa simba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama umezaliwa in 80's and up huambulii kitu hapo. 90% nimewakumbuka. This is nice!
ReplyDeletepicha ya hapo juu waliosimama: Azim Dewji(mfadhili mkuu), Iddi Selemani, Godwin Aswile "Scania", Mohamed Mwameja "TZ one", Husseima Masha, Mustafa Hoza na George Masatu.
ReplyDeleteWaliochuchuma kutoka kushoto:
Athuman Abdala "China", XXX, XXX, Madaraka Selemani na Edward Chumila "Eddo"
Picha ya Chini Waliosimama kutoka kushoto:
ReplyDeleteMackenzi Ramadhani, Hussein Masha, Bakari Iddi, XXX, Jamhuri Kiwehlo, XXX, Zamoyoni Mogella, Twaha Hamidu, Mavumbi Omari, Manager wa Team na Trainer.
Waliochuchuma kutoka kushoto:
Ayubu Mzee, Hassani Afif, MEthod Mogella, XXX, Raphael Paul "RP", XXX, Idd Pazi "Father" na XXX
Picha ya juu baada ya China ni Dua Said and Deo Mkuki.
ReplyDelete