Na Bashir Yakub
Wapo watu ambao shida yao ni kuandaa wosia lakini tatizo ni waanzeje. Je waandike kama barua, je waandike kama makala, je waandike kama maombi ya zabuni, je waandike kama notisi, waandikeje hasa. Wapo watu ambao wameshaandika wosia lakini wameandika hovyohovyo tu bila mpangilio maalum.
Ikumbukwe kuwa wosia mbovu usio katika taratibu na mpangilio wa kisheria ni wosia ambao baada ya kufa kwako unaweza kuleta ugomvi mkubwa na hatimaye inaweza kuamuliwa kuwa wosia huo si halali hata kama ni kweli uliuandika na hivyo kusababisha yale yote uliyotaka yafanyike baada ya kufa kwako yasifanyike.
Aidha hili ni tatizo ambalo makala haya yaweza kusaidia kulimaliza kwa atakayesoma. Mfano huu au sample hii hapa chini ni ya kitaalam na ya kisheria hivyo mtu anaweza kuinakili hivihivi ilivyo na akaitumia kuandalia wosia wake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...