MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akiongea na wadau wa maendeleo kutoka Japan wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam.
MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akimtambulisha Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia Mgonja kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la JICA, Onishi Yasunora (kushoto) na Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga, wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...