Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline
.

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua.
 Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ee Mungu, Ee Baba wa Mbinguni, inauma sana na inasikitisha sana. Tunakuachia wewe uliyempaji wa yote. Uwahurumie dhambi zao wanao na uwapokee mbinguni kwako. Poleni sana wafiwa wote ndugu jamaa na marafiki. Da! kweli inauma jamani ila basi tu yote ni mapenzi ya Mungu. R.I.P.

    ReplyDelete
  2. Imeniuma kama nawajua masikini, namuonea sana huruma huyo baba wa watoto, Mungu tu ampe wepesi maana maumivu yake yeye peke yake ndio anayaelewa. Mungu alaze roho za marehemu mahali pema peponi, amina.

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wafiwa. Ni uchungu ulioje kwa familia yote kuondoka kwa wakatim mmoja. R.I.P.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...