Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline
.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua.
Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.
Ee Mungu, Ee Baba wa Mbinguni, inauma sana na inasikitisha sana. Tunakuachia wewe uliyempaji wa yote. Uwahurumie dhambi zao wanao na uwapokee mbinguni kwako. Poleni sana wafiwa wote ndugu jamaa na marafiki. Da! kweli inauma jamani ila basi tu yote ni mapenzi ya Mungu. R.I.P.
ReplyDeleteImeniuma kama nawajua masikini, namuonea sana huruma huyo baba wa watoto, Mungu tu ampe wepesi maana maumivu yake yeye peke yake ndio anayaelewa. Mungu alaze roho za marehemu mahali pema peponi, amina.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Ni uchungu ulioje kwa familia yote kuondoka kwa wakatim mmoja. R.I.P.
ReplyDelete