Bwa. Hashimu Lema, mfanyabiashara anayemiliki kampuni ya ujenzi ya Comfix, amemtembelea Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, ofisini kwake. Mhe. Mjenga amemfahamisha fursa nyingi zilizopo Dubai na Ukanda wa Ghuba kwenye sekta hii ya ujenzi, ambako kampuni kutoka Tanzania wanaweza kuwa ni mikataba ya ushirikiano nazo katika utekelezaji wa miradi mbali mbali Tanzania. Njia hii pia itasaidia kuwajengea uwezo na kupata mbinu za teknolojia mpya ( technological Transfer).
Home
Unlabelled
MFANYABIASHARA KUTOKA TANZANIA BWA. HASHIMU LEMA AMTEMBELEA MHE. OMAR MJENGA OFISINI KWAKE DUBAI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...