Mkuu wa Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto)akimkabidhi kitita  cha shilingi Milioni 10/- James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544. 
 Mshindi wa kitita cha Shilingi Milioni 10/- kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,akiwa ameshikilia kitita chake alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kenyatta Mwanza, Martin Rajabu(kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kumkabidhi kitita  cha shilingi Milioni 10/- James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,hafla hiyo ilifanyika katika tawi la Benki hiyo mkoani humo leo anaeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa Dominician Mkama.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mnashindwa kumkabithi mfano wa Cheque?
    hata kama ni maonyesho tu lakini watu wengine hawatoelewa na kuiishia kumkaba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...