Bw. Elia Yobu wa Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake Mzazi EDINECK ELIAMEN YOBU (pichani) kilichotokea Jumatatu tarehe 9.2.2014 jijini Dar es Salaam.
Mipango ya Mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wa Marehemu Tegeta Mivumoni Dar es Salaam.
Habari ziwafikie Marko Ruwaichi Lyimo na nduguze wa Kilombero Morogoro, Vera na Jessie Mpanda wa Mwanza , Felix na Ajuae Lyimo wa Marangu Moshi na Eliwangu Jamhuri wa Arusha pamoja na ukoo wa Yobu Lyimo, Shoo wa Machame, Mbuya, Mtui, Makundi ndugu, jamaa, majirani na Marafiki popote walipo.
Bwana alileta, na Bwana ametwaa.
Jina lake na lihimidiwe
AMINA
Bwana alileta, na Bwana ametwaa.
Jina lake na lihimidiwe
AMINA
R.I.P Mama Yobu.
ReplyDeleteWafiwa poleni sana kwa msiba.