Bw. Elia Yobu wa Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake Mzazi EDINECK ELIAMEN YOBU (pichani) kilichotokea Jumatatu tarehe 9.2.2014 jijini  Dar es Salaam. 

Mipango ya Mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wa Marehemu Tegeta Mivumoni Dar es Salaam. 

Habari ziwafikie Marko Ruwaichi Lyimo na nduguze wa Kilombero Morogoro, Vera na Jessie Mpanda wa Mwanza , Felix na Ajuae Lyimo wa Marangu Moshi na Eliwangu Jamhuri wa Arusha pamoja na ukoo wa Yobu Lyimo, Shoo wa Machame, Mbuya, Mtui, Makundi ndugu,  jamaa, majirani na Marafiki popote walipo.

Bwana alileta, na Bwana ametwaa.
Jina lake na lihimidiwe
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. R.I.P Mama Yobu.
    Wafiwa poleni sana kwa msiba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...