Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.) akipokelewa kwa furaha na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Dkt. Lu Youqing alipowasili katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kichina. Waziri Membe amemwakilisha Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwenye hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
|
Home
Unlabelled
Waziri Membe mgeni rasmi kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka Mpya waKichina
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...