Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Serikali ya Wabelgiji Wanaozungumza Kijerumani,Mhe. Oliver Paasch,wakati alipokutana nae leo ofisini kwake jijini Eupen Ubelgiji.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa akimkabidhi zawadi Waziri Mkuu wa Serikali ya Wabelgiji Wanaozungumza Kijerumani,Mhe. Oliver Paasch baada ya kumaliza mazungumzo naye ofisini kwake Eupen Ubelgiji.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...