Home
Unlabelled
BIG RESULTS NOW (BRN) SAFARI YA MABADILIKO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu, hivi hao wananchi wanakua wanarishwa maneno ya kusema? Kwenye huo mpango wa matokeo makubwa sasa. ..kule mtwara wananchi wanapochota maji miundo mbinu yote mibovu...nyumba zote mbovu vijumba vya udongo ndio nini sasa tunataka nyumba mpya na za kisasa. ...twende morogoro yangu yaani train station ni mbovu sana. ..kule dodoma nimevutiwa na uongeaji wa yule dada anaesema atakua akikesha kurisubili train huku akiwa anakunywa kahawa. ..nimempenda sn huyu dada because anajiamini kwenye kuongea. ..na huo mpango wa matokeo makubwa sasa ni mzuri sn kama utasimamiwa ipasavyo. .pongezi kwa alie buni huo mpango. .kama ndio hivyo ntaludi kuleta maujuzi yangu. ..lo naipenda Tanzania yangu.
ReplyDelete