Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoishi kwenye Hostel za Mabibo,wakiangalia moja ya majengo ya Hostel hizo likiwa limeshika moto asubuhi hii.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na msaada wa haraka unahitajia ili kuokoa mali zilizopo kwenye Jengo hilo.
Hakuna anaeamini anachokiona,kwani imekuwa ni tukio la ghafla sana.
Baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye Jengo hilo wakiwa nje,huku wakiwa hawajui la kufanya wakati moto huo ukiendelea kuwaka.
Moshi unazidi kufuka na moto unaongezeka.

Je fire extinguishers zipo?,water sprinkles zipo kila floor? fire drills zimekuwa zikifanyika kujitayarisha na moto? je kuna meeting point zinazoeleweka...Hii ni kabla hatujaangalia jiji linasaidia je katika swala zima la zima moto..
ReplyDeleteJe majengo haya yamelipiwa bima ya moto?
ReplyDeletemadesa yangu yameungulia hosteli ndo maana mtihani umemshinda.
ReplyDeletePoleni ndugu zetu! ! mungu atawapa nguvu na sisi Watanzania Tupo nyuma yenu na tunawategemea kama rasilimali ijayo. Elimu juu ya maafa kama moto inahitajika sana hasa mashuleni na vyuoni.
ReplyDelete