BI
GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO
ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO
NA VITU VINGINE MBALIMBALI VIMEOKOTWA NA VIPO KATIKA MIKONO SALAMA.
YEYOTE ANAE MFAHAMU MHUSIKA AMA TAARIFA AFIKE OFISI YA MTENDAJI KATA-TABATA MSIMBAZI SOKONI, ATAKABIDHIWA.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713624583
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713624583
angalia kurasa ya nyuma huwa kuna contact ya emergency inaweza rahisisha kumpata
ReplyDeleteTunashkuru sana kwa kuwa waaminifu na wakarimu kwa kumtangazia muhusika wa vitambulisho vilivyookotwa ajitokeze ili avichukuwe vikiwa katika hali ya usalama kabisa. Pongezi nyingi kwa hilo.
ReplyDeleteLanini binafsi nimeona kiusalama zaidi mngemtangazia tu kwa jina au hata kwa kuambatanisha tu hiyo picha yake, kuliko kuanika details zake zote, kuprotect hizo details chache tu, binafsi naona kama bado hakujakidhi mahitaji zaidi ya kiusalama (Privacy and Confidentiality) ya muhusika, kama ni hivyo basi hata hiyo barcode hapo chini yote mngeiprotect pia na si kwa kuficha tu hiyo namba ya pasipoti.
Kwanza nakupongeza kwa ulichofanya kutoa taarifa hapa, hiki ni kitendo cha watu walioendelea kiakili.
ReplyDeleteIla nakushauri endelea kujifunza zaidi mambo ili ufikie kiwango cha maendeleo ya kiakili kinachotakiwa.
Kwa mfano watu mnapenda sana kufucha taarifa za watu kama ulivyofanya hapo umeficha tarehe yake ya kuzaliwa na mahali pa kuzaliwa hiyo sio sawa kwa watu walioendelea.
Kwa kukusaidia tu hapo hujaficha kitu tarehe yake ni 30-11-1989
Hivi huoni kwamba taarifa zote za sir zimezibwa? Au na utaifa na jina ni taarifa inayotakiwa kuwa ya siri?
ReplyDeletesasa hamuoni kama mjamaa kajitolea tuu we unajua process zilivyo za kupata passport mpya baada ya zamani kupotea?
ReplyDeletesasa ndugu hapo kajitolea tarehe umri itakusaidia nini hata kama ungeiona ni mara mia kuipata kuliko kuipoteza kabisa.