BI GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO NA VITU VINGINE MBALIMBALI VIMEOKOTWA NA VIPO KATIKA MIKONO SALAMA.

YEYOTE ANAE MFAHAMU MHUSIKA AMA TAARIFA AFIKE OFISI YA MTENDAJI KATA-TABATA MSIMBAZI SOKONI, ATAKABIDHIWA. 

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713624583  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. angalia kurasa ya nyuma huwa kuna contact ya emergency inaweza rahisisha kumpata

    ReplyDelete
  2. Tunashkuru sana kwa kuwa waaminifu na wakarimu kwa kumtangazia muhusika wa vitambulisho vilivyookotwa ajitokeze ili avichukuwe vikiwa katika hali ya usalama kabisa. Pongezi nyingi kwa hilo.

    Lanini binafsi nimeona kiusalama zaidi mngemtangazia tu kwa jina au hata kwa kuambatanisha tu hiyo picha yake, kuliko kuanika details zake zote, kuprotect hizo details chache tu, binafsi naona kama bado hakujakidhi mahitaji zaidi ya kiusalama (Privacy and Confidentiality) ya muhusika, kama ni hivyo basi hata hiyo barcode hapo chini yote mngeiprotect pia na si kwa kuficha tu hiyo namba ya pasipoti.

    ReplyDelete
  3. Kwanza nakupongeza kwa ulichofanya kutoa taarifa hapa, hiki ni kitendo cha watu walioendelea kiakili.
    Ila nakushauri endelea kujifunza zaidi mambo ili ufikie kiwango cha maendeleo ya kiakili kinachotakiwa.
    Kwa mfano watu mnapenda sana kufucha taarifa za watu kama ulivyofanya hapo umeficha tarehe yake ya kuzaliwa na mahali pa kuzaliwa hiyo sio sawa kwa watu walioendelea.
    Kwa kukusaidia tu hapo hujaficha kitu tarehe yake ni 30-11-1989

    ReplyDelete
  4. Hivi huoni kwamba taarifa zote za sir zimezibwa? Au na utaifa na jina ni taarifa inayotakiwa kuwa ya siri?

    ReplyDelete
  5. sasa hamuoni kama mjamaa kajitolea tuu we unajua process zilivyo za kupata passport mpya baada ya zamani kupotea?
    sasa ndugu hapo kajitolea tarehe umri itakusaidia nini hata kama ungeiona ni mara mia kuipata kuliko kuipoteza kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...