Leo Jumanne 24.March 2014 ni siku ya kuzaliwa mdau Hamisi Ally Hamisi tunamuombea kila la heri,Afya njema na maisha marefu,Kijana Hamisi Ally Hamisi
alizaliwa siku kama ya leo 24 March, mtaa wa Mchikichi/Kongo st.18 Kariakoo jijini Dar es salaam,
akiwa mtoto wa kiume wa aliyekuwa mchezaji kandanda wa timu za Benfrika, Kongo United "Shetani Wekundu" marehem Bw.Ally Hamisi Ally(RIP) aka De Stefano.

Hongera sana kijana Hamisi Ally Hamisi kwa siku yako ya Kuzaliwa na endeleza kipaji chako cha kandanda

wadau mnaweza kuungana nae at www.facebook.com/hamisi.ally.7?fref=ts

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dogo Hamisi Ally hongera sana mtoto ya kariakoo ,je? umerithi kipaji cha baba yako marehemu Ally Hamisi aka De Stefano wa Kongo united shetani wekundu wa kariakoo

    ReplyDelete
  2. Mtoto wa simba ni simba tu nasikia bwana mdogo naye kandanda analiweza,
    mungu akujalie afya na maisha bora

    ReplyDelete
  3. Happy Birthday Hamisi Ally Hamisi Jr.naona maji yanafuata mkongo ifufueni basi Kongo United Shetani wekundu naona vilabu vyote vimekufa kariakoo na nyie mababu na mababa zenu ndio wenye mji fanyeni kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...